Msaada tiba ya sickle cell (seli mundu)

Msaada tiba ya sickle cell (seli mundu)

Aisee nenda Hospital Pediatrics upate Msaada hakuna msaada wa maana utapata humu wahi haraka mtoto aanze tiba angali mdogo sickle cell anaemia ni mlolongo wa Dawa tiba unamsubiri hapo
 
Habari za wakati

Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana naomba msaada kwa anayejua tiba au huduma ya kwanza kila anapopatwa na shida ya kusikia maumivu
Pole sana!

Kwa watoto au watu wenye ugonjwa wa seli mundu ili kupunguza maumivu ambayo huwapata ni vyema ukampatia dawa za kutuliza maumivu kama huduma ya kwanza kisha mpeleke hospital kwa matibabu zaidi.

Ili kuyazuia hayo maumivu yasitokee mara kwa mara mzoeshe mgonjwa kunywa maji mara kwa mara kwa sababu upungufu wa maji (dehydration) pia husababisha maumivu hayo kutokea. Kwa hiyo kama sehemu ya huduma ya kwanza mpe maji mgonjwa anywe (kama anaweza kunywa) wakati unamwandaa kwenda hospital kwa uchunguzi na matibabu zaidi.
 
Habari za wakati

Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana naomba msaada kwa anayejua tiba au huduma ya kwanza kila anapopatwa na shida ya kusikia maumivu
Ugonjwa mbaya sana huo, uliniondolea Roho ya mpenzi wangu Rosalina Gati Matogoro. Sijui Prof. Julie Makani aliishia wapi na utafiti wa dawa ya ugonjwa huo. Nakumbuka dawa yake ilitangazwa kufanya vizuri sana na WHO, Shirika la Afya Duniani.
 
Dah pole sana
 
Pole sana mkuu,ungejaribu kufuatilia pale Benjamin mkapa hospital nasikia wanapandikiza uboho sasa sijajua gharama zake ila fuatilia Kwa ukaribu matibabu hao na Kuna watu/watoto walipata tiba na kupona ila pia fuatilia wagonjwa wa circle cell Wana clinic yao Kwa ajili ya dawa wasipate changamoto za maumivu kama huyo mtoto wetu
 
Clinic ipo hapo Benjamin mkapa mkuu
 
Pole sana ndugu yangu. Ugonjwa wa sickle cell ni genetic, hauna tiba rahis labda kwa kufanya bone marrow transplant au kutumia stem cells, tiba ambazo ni ngumu na aghali sana na hospitali zetu hazijaweza kuzimudu.
 
Pole sana mkuu, jamaa yangu alimzika mwanae kwa hiyo kitu alikuwa na miaka 6 alizaliwa nayo, jiandae kuuguza sana mkuu pole sna na muombe mungu maana lolote laweza tokea, pia zingatia dawa za madaktari watazokupa utapoona zinamsaidia kukaa sawa.
 
Umempa ushauri mgumu. Mtie moyo kwa kumwambia Mungu yupo
 
Pole sana mkuu, jamaa yangu alimzika mwanae kwa hiyo kitu alikuwa na miaka 6 alizaliwa nayo, jiandae kuuguza sana mkuu pole sna na muombe mungu maana lolote laweza tokea, pia zingatia dawa za madaktari watazokupa utapoona zinamsaidia kukaa sawa.
Sawa mkuu Asante kwa ushauri
 
Jaribu Ila pia ntazungumza na bibi yangu ni Mganda yeye huwa anajua Dawa Mbali mbali za mitishamba ambazo huwa anawasaidia watu.

Ntarudi
 
Pole,
Huyo mtoto anahitaji very care.
Namfahamu baba mmoja ana kijana wake sasa tuseme huyo kijana ana 28 years ila kila mara alikuwa analazwa kwa Dr Kairuki. Bahati mbaya sana yule mzazi wake aliondoka na ile korona, sijui sasa anaendeleaje.

Zamani walikuwa wanasema huo ugonjwa unatokana na wazazi hivyo pia angalia damu zenu.

Hapa kijiweni yupo mmama mmoja kijana wake miaka 12 anao na mdogo wake pia anao.

Pole.
 
Habari za wakati

Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana naomba msaada kwa anayejua tiba au huduma ya kwanza kila anapopatwa na shida ya kusikia maumivu
Karibu nikuhudumie, huyo mwanao nitakupa ofa dawa zipo nitamtibia bure kabisaa wasiliana nami kupata matibabu kamili ya mwanao 0656303019
 
Back
Top Bottom