Pole sana!Habari za wakati
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana naomba msaada kwa anayejua tiba au huduma ya kwanza kila anapopatwa na shida ya kusikia maumivu
Ugonjwa mbaya sana huo, uliniondolea Roho ya mpenzi wangu Rosalina Gati Matogoro. Sijui Prof. Julie Makani aliishia wapi na utafiti wa dawa ya ugonjwa huo. Nakumbuka dawa yake ilitangazwa kufanya vizuri sana na WHO, Shirika la Afya Duniani.Habari za wakati
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana naomba msaada kwa anayejua tiba au huduma ya kwanza kila anapopatwa na shida ya kusikia maumivu
Dah pole sanaUgonjwa mbaya sana huo, uliniondolea Roho ya mpenzi wangu Rosalina Gati Matogoro. Sijui Prof. Julie Makani aliishia wapi na utafiti wa dawa ya ugonjwa huo. Nakumbuka dawa yake ilitangazwa kufanya vizuri sana na WHO, Shirika la Afya Duniani.
Clinic ipo hapo Benjamin mkapa mkuuPole sana mkuu,ungejaribu kufuatilia pale Benjamin mkapa hospital nasikia wanapandikiza uboho sasa sijajua gharama zake ila fuatilia Kwa ukaribu matibabu hao na Kuna watu/watoto walipata tiba na kupona ila pia fuatilia wagonjwa wa circle cell Wana clinic yao Kwa ajili ya dawa wasipate changamoto za maumivu kama huyo mtoto wetu
Umempa ushauri mgumu. Mtie moyo kwa kumwambia Mungu yupoPole sana mkuu, jamaa yangu alimzika mwanae kwa hiyo kitu alikuwa na miaka 6 alizaliwa nayo, jiandae kuuguza sana mkuu pole sna na muombe mungu maana lolote laweza tokea, pia zingatia dawa za madaktari watazokupa utapoona zinamsaidia kukaa sawa.
Sawa mkuu Asante kwa ushauriPole sana mkuu, jamaa yangu alimzika mwanae kwa hiyo kitu alikuwa na miaka 6 alizaliwa nayo, jiandae kuuguza sana mkuu pole sna na muombe mungu maana lolote laweza tokea, pia zingatia dawa za madaktari watazokupa utapoona zinamsaidia kukaa sawa.
Karibu nikuhudumie, huyo mwanao nitakupa ofa dawa zipo nitamtibia bure kabisaa wasiliana nami kupata matibabu kamili ya mwanao 0656303019Habari za wakati
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana naomba msaada kwa anayejua tiba au huduma ya kwanza kila anapopatwa na shida ya kusikia maumivu
Acha utapeli Hilo tatizo halina dawa ya moja kwa mojaKaribu nikuhudumie, huyo mwanao nitakupa ofa dawa zipo nitamtibia bure kabisaa wasiliana nami kupata matibabu kamili ya mwanao 0656303019
Nilichotapeli kipi hapo?? Nimesema Mimi nitamtibia bure unakuja kuleta ujinga ujinga wako hapaa.Acha utapeli Hilo tatizo halina dawa ya moja kwa moja