mc luggy
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 454
- 102
Daaah nina tatizo lakusumbuliwa na vipele vingi sana katika kidevu changu kutoka na kazi ninazofanya sometimes inanibidi kutumia hata wembe basi hapo ndo huwa ni makosa makubwa sana na hata nikinyoa saloon kwa mashine zinapoota tu pale natoka vipele vidogo vidogo vyenye usaha na maumivu makali sana
Nimejaribu njia mbali mbali na kwa kutumia hata sabuni mbali mbali after shave mbalimbali lakini tatizo hilo bado nilienda hata SEARCH AMON nilipewa sabuni,after shave na cream moja iv ya kupaka amvavyo vilighalimu kama 43 elfu but ckuweza kupona hadi leo
Naomba msaada wenu wa jf kwa mwenye kunipa njia mbadala labda kuna vitu nakosea mie ingawa nahangaika na dawa mbali mbali au dawa gan naweza tumia