George Betram JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 4,672 Reaction score 6,272 Aug 21, 2023 #1 Habari wanaJF? Mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi 6, anasumbuliwa sana na Vipere. Nishampeleka sana hospitali, lakini dawa zote anazipewa hazimsaidii, akitumia dawa Vipere vinapotea kwa muda mfupi lakini baada ya muda mfupi vinarudi tena.
Habari wanaJF? Mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi 6, anasumbuliwa sana na Vipere. Nishampeleka sana hospitali, lakini dawa zote anazipewa hazimsaidii, akitumia dawa Vipere vinapotea kwa muda mfupi lakini baada ya muda mfupi vinarudi tena.
George Betram JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 4,672 Reaction score 6,272 Aug 21, 2023 Thread starter #2
N nabydeco Member Joined Jul 1, 2018 Posts 78 Reaction score 96 Aug 21, 2023 #3 Jaribu pia kumuogesha na sabuni zenye dawa mfano detol za watoto zile
George Betram JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 4,672 Reaction score 6,272 Aug 21, 2023 Thread starter #4 nabydeco said: Jaribu pia kumuogesha na sabuni zenye dawa mfano detol za watoto zile Click to expand... Labda nijaribu hiyo Dettol, nilishawahi mnunulia Tetmosol wala haikumsaidia.
nabydeco said: Jaribu pia kumuogesha na sabuni zenye dawa mfano detol za watoto zile Click to expand... Labda nijaribu hiyo Dettol, nilishawahi mnunulia Tetmosol wala haikumsaidia.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Aug 21, 2023 #5 Fanya allergy test
George Betram JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 4,672 Reaction score 6,272 Aug 22, 2023 Thread starter #6 Sky Eclat said: Fanya allergy test Click to expand... Ghalama yake ikoje hicho kipimo?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Aug 22, 2023 #7 Pia Wahaya wapo vizuri kwenye madawa ya asili jaribu kutafuta mtu wahuko kama anaeza kufanyia mpango!
Pia Wahaya wapo vizuri kwenye madawa ya asili jaribu kutafuta mtu wahuko kama anaeza kufanyia mpango!