Msaada title deed (TD)

Msaada title deed (TD)

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
9,890
Reaction score
2,795
Wadau nna kiwanja chetu tulinunuaga mda kidogo toka kwa auctioneer (Yono Auction) baada ya mteja mmoja ku default payment. Hicho kiwanja hakina hati na kimejengwa mda tu. Sale agreement kati yetu na Yono ipo.
Nataka kupata TD.
Naombeni msaada naanzaje anzaje?
 
Utapata msaada vizuri zaidi endapo utafafanua hicho kiwanja ni chanani?. Sentensi uliotumia ni tata ""Wadau nna kiwanja chetu tulinunuaga mda kidogo toka kwa auctioneer"".

Mwisho na changia machache.. Wanasheria wata kushauri vizuri zaidi.

Umesema kiwanja hakina hati.. Hapa na kushauri ufanye application kwenye office ya ardhi kiwanja kilipo iliupate hati kumbuka kuambatanisha mkataba wa mauziano.

Umesema unataka kupata TD (title deed). Hapa Mimi nazani unataka kufanya registration ya hiyo TD hivyo na kushauri ufanye application kwa registrar (msajili wa hati).
 
Nimejaribu kuwasoma mleta mada na inspector shamba(hasa mleta mada)nashindwa kuelewa unataka tittle deed gani tena,,
Cha msingi ni hati,,ambayo una appy kwenye ofisi za halmashauri za area of jurisdiction kama ailivyokuelekeza mkuu inspector,,lakini pia unasema kiwanja hakina hati but shida yako wewe ni tittle deed,,unafahamu tittle deed ni nini?
Ukishapata ile hati(cert of right of occupancy tayari iyo iyo ndo tittle deed,,kwa kukusaidia,hakuna separate document inayoitwa tittle deed,,bali ni variety za documents zinazoweza kuthibitisha umiliki wako wa eneo husika
Kwa lugha nyingine hati ndio kila kitu,,including tittle deed
 
Nakushauri upate consultants juu ya masuala ya ardhi.

Kuna kampuni inaitwa Makazi consultants wana deal na hayo masuala sana. Ukihitaji msaada zaidi au mawasiliano yao ni PM. Asante
 
Mkuu kwa kifupi ni kwamba hakuna legal document inayoonesha umiliki wa kiwanja ukiacha hiyo sale agreement.
Nadhani utakuwa umenielewa kwa hili.
 
Nimekusoma mkuu. Shukrani
 
Utapata msaada vizuri zaidi endapo utafafanua hicho kiwanja ni chanani?. Sentensi uliotumia ni tata ""Wadau nna kiwanja chetu tulinunuaga mda kidogo toka kwa auctioneer"".

Mwisho na changia machache.. Wanasheria wata kushauri vizuri zaidi.

Umesema kiwanja hakina hati.. Hapa na kushauri ufanye application kwenye office ya ardhi kiwanja kilipo iliupate hati kumbuka kuambatanisha mkataba wa mauziano.

Umesema unataka kupata TD (title deed). Hapa Mimi nazani unataka kufanya registration ya hiyo TD hivyo na kushauri ufanye application kwa registrar (msajili wa hati).

Mkuu kwa kifupi kwa sasa the only legal document available ni sale agreement tu.
Na nnavyosema tuna namaanisha mimi na mke wangu.
 
Mkuu kwa kifupi ni kwamba hakuna legal document inayoonesha umiliki wa kiwanja ukiacha hiyo sale agreement.
Nadhani utakuwa umenielewa kwa hili.

Nimekuelewa mkuu,,,kama hutakua huna uwezo wa kumuafford consultant(huwa wanakua na garama separate kwa ushauri pekee,,unless akushugulikie yeye mwenyewe hadi upate hati then umlipe kwa jumla)nakushauri uende moja kwa moja ofisi ya ardhi ya eneo lako umface land officer yeyote umwonyeshe na izo sales agreement atakusaidia everything mpaka utapata hati,,,eneo lako liko halmashauri/wilaya gani?
 
kinondoni (halmashauri ya wilaya) ambako migogoro mingi ya ardhi ndio ilipo
 
Nenda h/w yako uliza taratibu.
Nadhani kama sikosi watataka barua toka kwenye kata. Then utaandika barua kwa mkurugenI wa h/w na taratibu nyingine zitafuata
 
Back
Top Bottom