Chembe hai nyeupe ni chembe za mwili zinazofanya kazi ya kuulinda mwili dhidi ya magonjwa, kutokana na sifa zake zimegawanywa katika makundi Neutrophils, Basophils, Eosinophils, Lymphocytes, Monocytes. Cd4 ni aina ya protini ambayo hupatikana kwenye sakafu (surface) ya baadhi ya cell zinazohusika na ulinzi wa mwili (hasa aina ya chembe nyekundu T-Lymphocytes helper). Kushuka kwake husababishwa na magonjwa yanayosababisha pengine uzalishwaji au uharibifu wa seli hizi. Mfano halisi ni ugonjwa wa UKIMWI ambao huharibu T-helper na kufanya kushuka kwa cd4