Msaada,TOFAUTI YA 0% NA NO LOAN KWENYE MATOKEO YA BODI

Msaada,TOFAUTI YA 0% NA NO LOAN KWENYE MATOKEO YA BODI

Kidotulotokordwak

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
286
Reaction score
43
Wadau naomben tofauti ya ivyo vitu viwil au ukipata 0% unapata ela ya chakula lakin fee aupew na no loan hauna vyote,anaejua anifaamishe na wengine wacofaham
 
Yap ni hivyo hiyo ujuavyo, in addition 0% unapata fedha za mambo mengine yote kasoro TUITION FEE na fedha za SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS. Hiyo % huangaliwa kwenye TUITION FEE na SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS kwingine kote kiwango cha fedha ni sawa. Jaribu kupitia mtandao wa HESLB kwa maelezo zaidi
 
Kuanzia mwaka jana ukipata 0%,hupewi chochote.
 
Back
Top Bottom