Wadau naomben tofauti ya ivyo vitu viwil au ukipata 0% unapata ela ya chakula lakin fee aupew na no loan hauna vyote,anaejua anifaamishe na wengine wacofaham
Yap ni hivyo hiyo ujuavyo, in addition 0% unapata fedha za mambo mengine yote kasoro TUITION FEE na fedha za SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS. Hiyo % huangaliwa kwenye TUITION FEE na SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS kwingine kote kiwango cha fedha ni sawa. Jaribu kupitia mtandao wa HESLB kwa maelezo zaidi