Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

Muce na Udsm ni taasisi mbili tofauti ?

Kama ni taasisi mbili tofauti kwanini anayewa award certificates ni mtu mmoja
 
Hapo chankufanya
1.chagua Kati ya kwenda Dsm au Iringa.
2.Kama unapenda kubobea nenda MUCE Kama unataka kuwa kawaida nankurelax kias nenda Main camping,
Hao Ni kuku kifaranga.
 
Dah kweli nahitaji kurudi tena shule how MUCE wana bsc in Chemistry duh! Nilijua ni bsc with ed na Bed science.
 
Hiyo ya MUCE ni Bsc of education in chemistry na inatolewa pia UDSM main compus na MKWAWA, Bsc in chemistry Tanzania inatolewa na vyuo viwili tu , UDOM na UDSM na hizo ni course mbili tofauti kabsa.
 
I mean ni muce (MKWAWA) ,udsm main compus na UDOM wanatoa hyo Bsc of education in chemistry[emoji115]
 
Hawana, wana bed science tu, nahisi mleta mada hajuh tofauti ya hizo course mbili.
Mkuu angalia admission book ya TCU, zote zipo Bsc. Education na Bsc. In Chemistry- MUCE, Mtoa made yupo sahihi,
 

Attachments

  • Screenshot_20201012-023554.png
    Screenshot_20201012-023554.png
    36.2 KB · Views: 11
Mkuu angalia admission book ya TCU, zote zipo Bsc. Education na Bsc. In Chemistry- MUCE, Mtoa made yupo sahihi,
Dah! nimefuatilia nimekuta ipo kweli, nadhani wameianzisha mwaka huu MUCE nahisi UDSM watakuwa wameipeleka pia kule, lakini sijajuh lengo lao la kuipeleka Kule kwa sababu kile ni chuo cha walimu, na Bsc in chemistry hawezi kuwa mwalimu!
 
Back
Top Bottom