MUBIKU
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 283
- 384
Wakuu habari,
Hapo juu mada imejieleza ila nahitaji kujua utofauti na ubora wa mashimo yetu ya vyoo, maana hivi karibuni kumeibuka technolojia mpya ya uchimbaji wa mashimo ya vyoo (vyoo vya kisasa) ambavyo mashimo yake huwa ni mafupi yenye urefu wa futi 6, ikiwa inambatana na shimo lingine dogo linalojazwa kokoto pembeni yake pia yana tofali maalum zenye tundu ambazo ni za kupachika tofauti na yale mashimo ya zamani ambapo shimo lake huchimbwa urefu wa takribani futi 10-12 na hujengewa kwa tofali za block na kukaziwa na Cement.
Hivyo naomba kuleta kwenu mjadala huu ili niweze kupata majibu na maoni sahihi ili niweze kufanya maamuzi nichimbe na kutumia Shimo lipi la choo kati ya haya ya kisasa na yale ya kizamani.
Lengo kuu likiwa ni kupata shimo lenye ubora nyakati zote, gharama nzuri, na lenye kuhifadhi taka kwa muda mrefu kwa kujaa au kutokujaa.