Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Habari zenu madaktari, manesi kwa wakunga wa jadi.
Takribani miezi kama miwili mitatu hivi nimekuwa nilisikia hali ya usingizi kupitiliza, naeza amka asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini ..haipiti muda kazini natamani hata kutoroka nikalale.
Nikirudi kazini tu hata hamu ya kupika sina najisikia kulala tuu muda wote na hapo naweza lala wee kuanzia sa kumi jioni hadi Saa moja nkiamka najipikilisha kidogo nakula usingizi tena na nikilala sichukui hata muda Usingizi huooo kama umetumwa vile na nalala fofofo.Asubuhi sasa mpaka kuamka kasheshe yani najilazimisha tu mana nsipoamka ntakufa maskini na kulala njaa..
Weekend sasa balaa tupu ile nshakunywa chai tu usingizi...nalala weeeee mpaka basi .. nkiamka naeza jiangalizisha muvi kidogo muvi haijaisha najiskia kulala. Muda mwingi napokuwa idle yaleyale mpaka majirani wananishangaa na muda mwingine siku nzima sitoki nje nimelala tu nkitoka haaa we kumbe ulikuepo!!!??? eeeeh nipo!
Kama ni ujauzito sina mana juzi tu nmetoka kuuona month kama si moon!
Sasa nashindwa kuelewa nini hasa kimesababisha hali hii?? Je kuna ugonjwa wa usingizi? kama upo nini dawa yake???
Nawasilisha...!