Scofied
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,456
- 1,673
Wakuu heshima kwenu
Tatizo la steering kukaza baada ya taa za power steering kuwaka limekuwa la kujirudi sana kwenye gar yang.
wale jamaa wa kupima walipima wakaona kuna fault kwnye wire wanakaza inakaa frsh baada ya mda inarudia tena…msaada kwa mwenye wa fundi mzur anaeweza nisaidia wakuu.
Mimi nipo Arusha!
Thanks.