Ukweli hongera sana, una gari kumbe sisi jf hatuna habari?Wakuu heshima kwenu…Tatizo la steering kukaza baada ya taa za power steering kuwaka limekuwa la kujirudi sana kwenye gar yangu…wale jamaa wa kupima walipima wakaona kuna fault kwnye wire wanakaza inakaa frsh baada ya mda inarudia tena…msaada kwa mwenye wa fundi mzur anaeweza nisaidia wakuu…me nipo Arusha! Thanks.