Msaada: toyota crown button zote za dashboard zime jam na radio imekata

Msaada: toyota crown button zote za dashboard zime jam na radio imekata

Wakuu toyota crown imekata moto button zote za kwenye dashboard na radio pia. Ac inawaka full time haipunguziki hadi uzime gari ndo inazima pia...msaada plz
upo wapi mkuu?? na hiyo ni crown aina gani?
 
Athlete ya 2005. Nipo dar mkuu
kama unaweza kujisogeza maeneo ya mwenge itakuwa powa zaidi msaada utakuwa mzuri zaidi?? maana hapo kuna mambo mengi ya kuyaangalia
 
Huyu mgonjwa kaanza gafla tu. Cku tatu baada ya kumtoa bandarini. Alikata gafla akiwa barabaran
okey mkuu kama unaweza kuja mwenge maeneo ya tamal hotel. 0717228064
 
Maswali mengi kuliko solution[emoji87][emoji87]
mkuu solution hapo ni hiyo ya kuja na gari tuone.harafu hiyo ni gari kweli 2005. lazima CAN itakuwa inahusika hapo. cha msingi ukija tutaipima tuone shida nini kwanza ni kujua kama panel ni nzima au laa kama ni nzima au ina loose conection sehem flani au shida ni nn hasa.labda kama ungekuwa ushaipima au ifuatilia then unashindwa utatue vipi hilo tatizo hapo sawa
 
Back
Top Bottom