Msaada: Toyota Harrier model ya 2005 inakita kwa sauti (banging sound) nIkipita kwenye shimo bila kupunguza speed

Msaada: Toyota Harrier model ya 2005 inakita kwa sauti (banging sound) nIkipita kwenye shimo bila kupunguza speed

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari wadau, naomba ushauri..

Nina Toyota Harrier model ya 2005 inakita kwa sauti (banging sound) nIkipita kwenye shimo bila kupunguza speed. Yani hata kama si speed sana. Sauti inatokea sana kwa mbele.

Fundi amekagua akagundua shock absorber ziko weak na moja ilishaanza kuvuja. Vitu vingine vyote anasema viko sawa, yaani stabilizer link, stabilizer bushes, wishbone bushes.

Nimebadili shock absorbers lakini tatizo liko palepale.

Je, nicheki kifaa gani kingine?
 
kwa uelewa wangu shock absorber hazileti sauti ya kugonga ila hasa stablizer link. Fundi bado hajagundua kugonga gonga ni kutokana na nini.
 
Acha kabisa mafundi wa mtaa, leo bado kidogo tubadili hizo hizo shock absober kumbe ni bush tu za kuchonga zilikuwa zinapwaya...
 
kwa uelewa wangu shock absorber hazileti sauti ya kugonga ila hasa stablizer link. Fundi bado hajagundua kugonga gonga ni kutokana na nini.
Kila kitu kacheki mbele yangu na hamna shida
 
Back
Top Bottom