ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Aangalie vzr na bush zakekwa uelewa wangu shock absorber hazileti sauti ya kugonga ila hasa stablizer link. Fundi bado hajagundua kugonga gonga ni kutokana na nini.
Samahani, kwanini umechonga wishbone bushes mzee?Acha kabisa mafundi wa mtaa, leo bado kidogo tubadili hizo hizo shock absober kumbe ni bush tu za kuchonga zilikuwa zinapwaya...
Sikuchonga wishbone bush mzee...Samahani, kwanini umechonga wishbone bushes mzee?
Kila kitu kacheki mbele yangu na hamna shidakwa uelewa wangu shock absorber hazileti sauti ya kugonga ila hasa stablizer link. Fundi bado hajagundua kugonga gonga ni kutokana na nini.