Ibanda1
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 723
- 1,125
Habari wanajamvi,
Gari yangu Toyota premio (1.5L) imekuwa na changamoto kadhaa amabazo nashindwa kizipatia majawabu.
(i) Gari kukosa nguvu inapopanda mlima, hili tatizo lilianza miezi mitatu iliyopita siku moja nilinusurika ajali wakati nina overtake kwenye mlima nilishangaa gari hainipi ile speed niliyoizoea ama niliyoikusudia ikanilazimu kurudi upande wangu haraka sana, baada ya kuona tatizo limekuwa kubwa nikaenda kwa fundi akasema tatizo ni fuel pump imeungua kwa kuwa inanesha natembelea mafuta madogo kweli nilikili kuwa miezi kadhaa nilitembelea sana mafuta ya kidebe basi tukabadilisha na tukaitest ikaonekana kama imetulia hivi ila baada ya wiki tatizo likajirudia tena na hadi sasa napata hiyo changamoto yaani RPM inagonga 3.5k ila speed iko 40km/s.
(ii) Tatizo lingine ni kelele kwemye dashboard, ni kama kuna vitu vimeachia nikiendesha gari nasikia sauti kwenye ule mwamba wote wa mbele gari inagonga hadi ile test ya gari situation vizuri.
Naombeni msaada wenu, kwa sasa nipo Dodoma.