Msaada: Toyota Raum steering wheel ina vibrate

Grand Canyon

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
545
Reaction score
1,191
Majuzi nilipata Pancha kwenye barabara ya lami yenye mashimo tairi ikachanika. Tairi ilikuwa tubeless.

Kwa kuwa Nilikuwa kwenye mji mdogo sikupata tairi tubeless hivyo nikaweka yenye tube. Baada ya hapo usukani hautulii. Kabla ya hapo kwenye barabara iliyonyooka ningeweza kuachia usukani na gari ingeenda mbele Kwa kunyooka, lakini Sasa nikiachia usukani inaacha njia.

Wana JF Mna ushauri gani kabla sijaenda Kwa fundi?
 
Nenda Tu Kwa fundi hakuna namna pia jaribu kutafuta tubeless tire ili gari iwe na balance Kwa matairi yote.
 
Majuzi nilipata Pancha kwenye barabara ya lami yenye mashimo tairi ikachanika. Tairi ilikuwa tubeless.

Kwa kuwa Nilikuwa kwenye mji mdogo sikupata tairi tubeless hivyo nikaweka yenye tube. Baada ya hapo usukani hautulii. Kabla ya hapo kwenye barabara iliyonyooka ningeweza kuachia usukani na gari ingeenda mbele Kwa kunyooka, lakini Sasa nikiachia usukani inaacha njia.

Wana JF Mna ushauri gani kabla sijaenda Kwa fundi?
Kama ulibadilisha tairi tu ndo ikaanza kukusumbuka 90% itakuwa no upepo umewekewa mwingi jaribu kupima tairi zote ziwe PSI sawa
 
Back
Top Bottom