Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Thd iishie hapa.Wheel Balancing & Alignment.
Awe makini pia akiendelea kuendesha gari tairi zinawezakulika upande...Wheel Balancing & Alignment.
Kama ulibadilisha tairi tu ndo ikaanza kukusumbuka 90% itakuwa no upepo umewekewa mwingi jaribu kupima tairi zote ziwe PSI sawaMajuzi nilipata Pancha kwenye barabara ya lami yenye mashimo tairi ikachanika. Tairi ilikuwa tubeless.
Kwa kuwa Nilikuwa kwenye mji mdogo sikupata tairi tubeless hivyo nikaweka yenye tube. Baada ya hapo usukani hautulii. Kabla ya hapo kwenye barabara iliyonyooka ningeweza kuachia usukani na gari ingeenda mbele Kwa kunyooka, lakini Sasa nikiachia usukani inaacha njia.
Wana JF Mna ushauri gani kabla sijaenda Kwa fundi?