Mkuu unaongelea TOYOTA RASTICS au TOYOTA RACTIS!?.
Ila inategemea matumizi ya hizo gari kama wewe ni family guy chukua Spacio its more spacious kuliko Ractis ila kama ni single guy chukua Ractis ni kadogo kuliko Spacio!.
Kuhusu Huduma naona vinafanana matunzo, ila Spacio ina nguvu kuliko Ractis.