Wakuu nami nataka kumiliki usafiri wangu kwa mara ya kwanza kwa matumizi ya kawaida ya kifamilia, route za mikoani mara moja moja Dar - Kahama au Dar - Mbinga. Je ipi itanifaa zaidi kati Toyota Spacio au Toyota Wish interms of space, comfortability, fuel consumption na changamoto nyingine. Budget yangu ni 12m nina plan kuchukua yard za bongo. Mawazo yako Ni msaada tosha kwangu!