Vp kwa budget yangu je naweza kupata kwa yard za bongo?Zote ni toyota...so sioni changamoto kubwa ya gari fulani kuishinda nyenzake maana vifaa vipo bwerere
Upande wa Space kwa mm naona Wish ina space kubwa ndan kuliko spacio
Confortability naona zote zipo sawa tu
Kwa Mafuta naona Spacio ya 1490cc inakula mafuta machache kuliko wish ya 1800cc
NB..Gari zote 2 sijawahi miliki ila nina expirience nazo kutoka kwa wamiliki wa hzo gari
Vp kwa budget yangu je naweza kupata kwa yard za bongo?
Zile siti za spacio kwenye buti ni upuuzi tu! Sijui ziliwekwa kwa kigezo kipi..Upande wa space kwa Spacial inachukua 7 passengers, comfortability kawaida tu.
Labda kwa ajili ya familiaZile siti za spacio kwenye buti ni upuuzi tu! Sijui ziliwekwa kwa kigezo kipi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii spacio yenye 3rd row mbona mi sijawahi kuiona. Hii ni mara ya pili kama sio tatu naskia mtu anazungumzia 3rd row seating wakati ile gari dimension zake ni zile zile.Zile siti za spacio kwenye buti ni upuuzi tu! Sijui ziliwekwa kwa kigezo kipi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kasiti kembamba sana mkuu, kwa ajili ya watu wawili (nafikiri watoto).Hii spacio yenye 3rd row mbona mi sijawahi kuiona. Hii ni mara ya pili kama sio tatu naskia mtu anazungumzia 3rd row seating wakati ile gari dimension zake ni zile zile.
Ahaa nakumbuka nilishabishana na dereva mmoja nusu tutiane ngumi. Bora leo umemaliza utata. 😂Ni kasiti kembamba sana mkuu, kwa ajili ya watu wawili (nafikiri watoto).
Wakikaa watu wazima magoti hayatoshi na gari inachuchumaa kiasi cha rear bumper kuburuza kwenye matuta..
View attachment 1641978View attachment 1641979
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ndiyo hivyo boss! Mimi niliacha kubisha mpaka nijiridhisheAhaa nakumbuka nilishabishana na dereva mmoja nusu tutiane ngumi. Bora leo umemaliza utata. [emoji23]
Itakuwa visiti vya watoto hivyo halafu hazinaga uvungu so magoti yanakuwa juu juu lazma uchoke mapema kwenye safari.
Hizo siti zinafanana na sienta.Ahaa nakumbuka nilishabishana na dereva mmoja nusu tutiane ngumi. Bora leo umemaliza utata. 😂
Itakuwa visiti vya watoto hivyo halafu hazinaga uvungu so magoti yanakuwa juu juu lazma uchoke mapema kwenye safari.
Mchango wako naufanyia kazi kiongoziChukua wish ila agiza nje ya nchi hizi yard za Tanzania zina ujanja ujanja mwingi be forward au sbtjan utachagua uipendayo na iliyotembea km chache Zaid.
Mchango wako naufanyia kazi kiongoziChukua wish ila agiza nje ya nchi hizi yard za Tanzania zina ujanja ujanja mwingi be forward au sbtjan utachagua uipendayo na iliyotembea km chache Zaid.