Msaada Toyota Voltz au Honda CR-V

mkuu kama voltz sio toyota ni nani sasa??

acha kukalili maisha mkuu rav 4 old model leo bado unaziwazia?? huko wazungu washakimbia zamani sana mzee

Voltz sio toyota kwanza zile zinaitwa Nummy Voltz, toyota walizinunua baada ya soko lake kufeli. Na zilitengenezwa elf 10 tu left hand. Kwa hiyo jamaa yupo sawa
 
Hivi kwa nini watu hampendi kujielimisha?

Nimesema nenda google, Toyota ni wabia kwenye usambazaji wa hayo magari. Ila siyo wazalishaji.

Magari walistop kutengeneza siku nyingi.
IVI NI KWANINI WALISTOP KUZALISHA HIZI GARI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…