Aina gani mkuu, Denso au NGK?Yes, roughly huwa ninapata 12km/l nikiwa highway. Ilibidi niachane na plugs za mitaani, nikaenda Toyota pale Msimbazi. Plug moja elfu 45.
Aina gani mkuu, Denso au NGK?
Kuna muhindi mmoja anataka aniuzie kwa Tsh 25k pale mitaa ya Kisutu aina ya Denso, sasa sijui ni SEMI-ORIGINAL au vipi? Lakini angalau Wahindi wana unafuu kwa bidhaa zao, hata simu ni mara chache kuchakachua au uchakachuzi wao kidogo wana huruma. Ukienda Kariakoo ukaingia kichwa kichwa utachakachuliwa na wabongo mpaka ushike kichwa
Sawa mkuu, ila bei ni 45k kwa moja, Denso?Kama unataka og nenda karikoo msimbazi toyota wana branch pale utapata og kabisa
Ni Denso SK20R11Aina gani mkuu, Denso au NGK?
Kuna muhindi mmoja anataka aniuzie kwa Tsh 25k pale mitaa ya Kisutu aina ya Denso, sasa sijui ni SEMI-ORIGINAL au vipi? Lakini angalau Wahindi wana unafuu kwa bidhaa zao, hata simu ni mara chache kuchakachua au uchakachuzi wao kidogo wana huruma. Ukienda Kariakoo ukaingia kichwa kichwa utachakachuliwa na wabongo mpaka ushike kichwa
OkNi Denso SK20R11
Bei zinaweza kuonesha kuwa ipi ina ubora wa chini. Hizo nilichukulia kwenye duka la Toyota, pale Msimbazi Street, Kkoo.Ok
Hivi zile za kubumba Denso si zinakua na code namba kama hii, utazitofautishaje?!
Nitatafuta hizo OGNi Denso SK20R11
Tofauti kati ya kupima Engine na Full System ni ipi?Engine napima kwa 30,000/=
Full systems ni 50,000/=
Tofauti kati ya kupima Engine na Full System ni ipi?
Hivi zile machine za OBD II ukiscan si zinaleta taarifa zote hizo auGari ina mifumo mingi. Full system inahusu kupima mifumo yote ya gari lako.
Gearbox, ABS, Airbag, Immobilizer, Transfer Case, Body, AC, na mingine mingi.
Engine diagnosis unapima engine peke yake.
Hivi zile machine za OBD II ukiscan si zinaleta taarifa zote hizo au