newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
Huhutaji usaidizi kwa hili wewe nenda TRA Jaza ombi la TIN then wape kesho yake utapata you are tin no. Thereafter inategemeana na aina ya biashara. Biashara ndogondogo nenda Kinondoni Municipal but if ni biashara kubwa nenda Wizara ya Viwanda na biashara unaipata the same day. TRA Usually wana weza kukubana ohoo lipa provision tax wakatalie wambie kodi hulipwa ikiwa ni ziada ya capital na expenses, hivyo yawezekana usipate faida mwaka wa kwanza hivyo hutakiwi kulipa kodi. Wakikuletea usumbufu waone walio juu yao.

Nimesajili kampuni kuwa LTD.
nahitaji
1.TIN registration
2.Leseni ya biashara
location ni wilaya ya kinondoni.
huitaji wangu ni wa haraka kidogo,within 4 days.
naomba maelekezo jinsi ya kupata vitu hivyo na ikiwezekana reference kwa mtu atakayeweza kurahisisha maisha ktk hili swala

Kimsing TRA ni chanzo cha kukosekana kwa mapato. Ni rahisi kupata TIN lakini mchakato wa makadirio ya mapato unatisha kiasi kwamba unaanza kujiuliza kama unaanza kulipa fedha nyingi mwaka wa kwanza wakati biashara inafikirika, je miaka ijayo itakuwaje? Nakushauri ufuatilie taratibu za kupata TIN siyo ngumu ila hakikisha uingizwi choo cha kike kama wewe ni MR.
Bye

Nimesajili kampuni kuwa LTD.

nahitaji

1.TIN registration

2.Leseni ya biashara

location ni wilaya ya kinondoni.

huitaji wangu ni wa haraka kidogo,within 4 days.

naomba maelekezo jinsi ya kupata vitu hivyo na ikiwezekana reference kwa mtu atakayeweza kurahisisha maisha ktk hili swala
Ili upate TIN kwa ajili ya Kampuni ulosajili, TRA watahitaji kivuli cha nyaraka zifuatazo.
1. cheti cha usajili (cert of Incorporation)
2. Memorandum & Articles of Association
3. mkataba wa pango, kama jengo la biashara si la kwako
4. Picha 2 za wakurugenzi na maelezo yao
5. Inakupasa wewe ama wakurugenzi kwenda physically TRA kwa ajili ya kupiga picha na kuchua alama za vidole.
Utakutana na Tax officer ambaye atakusaili kujua aina ya biashara na faida tarajiwa (provisional tax). Unatakiwa kuwa mwerevu kidogo maana wao wamefunzwa kukamua kodi. Sina hakika lakini nadhani wanapaswa kukupa miezi 6 kabla hujaanza kulipa kodi - wataalam watasema.
Ukienda mapema utaipata same day.
Kwenye leseni watahitaji nyaraka sawa na hapo juu 1 - 3 pamoja na TIN.
Kama biashara yako inahitaji taaluma fulani watahitaji cheti cha moja ya wakurugenzi.
Karibu kwenye ulimwengu wa wajasiriamali.
1. copy ya