Msaada; TRA wanaruhusu kumchukulia mtu mwingine leseni yake?

Msaada; TRA wanaruhusu kumchukulia mtu mwingine leseni yake?

Mpigadili Tz

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
1,093
Reaction score
2,046
Habari zenu, nimefanya taratibu zote TRA sasa bado kurenew leseni yangu ya biashara ila nahisi nitakuwa mbali na manispaa husika sasa nauliza unaweza kumuagiza mtu akakuchukulie leseni ya biashara manispaa au hadi ufunge safari mwenyewe (TAX CLEARANCE ninayo)?
 
Back
Top Bottom