Sir. Burn kama utasimamia mwenyewe ujenzi huo inakutosha na hata finishing....kuwa makini na mafundi tu....Wadau,
Nimebahatika kupata Tshs 85mil Kama urithi baada ya kuuza Nyumba yetu iliyoko katikati ya jiji,
Ndoto yangu ni kujenga Nyumba ya Ghorofa kupitia hela hii, Na Kiwanja kilichopimwa tayari ninacho,
Nauliza tu kwa mgao huu naweza kupata Nyumba ya Ghorofa 1 kwa mahesabu ya Fundi + Materials??
Kaka boss wangu ni member hapa Jf na anaijua username yangu,
Akijua nina 85Mil ya kujenga ni kesi.
Najenga Kibada!!
kaka eneo nlilopata ni hili walipopima viwanja vya serikali na majirani wote wameangusha mgorofa.Duh kama unajenga ya bishara I am with you,lakini kama ya kuishi mwenyewe,kwakweli hailipi.....kwanini usijenge simple houses kwa ajili ya soko la watu wa kati,like duplex house each with two bedroom na sitting room yake ,you might end up 500k per month x6x 2=6mil per annum....
Ramani ningeweza ku-attach hapa but sina soft copy yake.Wewe unataka ushauri halafu unatoa habari nusu nusu. Unataka kujenga nyumba ya ghorofa moja ya vyumba vingapi vya kulala, sebule ngapi? Je kila chumba kitakuwa self contained au hapana!!! Inabdid ulete habari kamili ya ghorofa unayotaka kujenga ili ushuariwe vizuri. Lakini kwa kifupi kwa gharama halisi za vifaa vya ujenzi, kujenga ghorofa kwa millioni 85 nina mashaka hazitoshi!!!!
Tiba
kaka eneo nlilopata ni hili walipopima viwanja vya serikali na majirani wote wameangusha mgorofa.
Kama nataka kutoka "kivyangu" nitakua kama alama flani hivi, may be nkajenge kwingine ya aina hiyo uliyotaja
Ramani ningeweza ku-attach hapa but sina soft copy yake.
But Nyumba ni vyumba vinne vya kulala, viwili juu Na viwili chini.
Library juu, wakati jiko Na stoo chini.
Self container ni kimoja cha juu tu.