NnyaMbwate
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,678
- 1,204
Hii nyumba itakuwa haijaezekwa! Kwa hesabu hii haitoshi na kimsingi huo ni mchanganuo lakini uhalisia wake ujenzi wa nanma hiyo ni ghali sana yahitaji moyo na yahitaji chanzo cha uhakika. Mi naona kwanza uwepo wa 85ml cash peke yake ni tatizo kwa sababu mjengo huo utajengwa siyo chini ya miezi 3. Kwa muda huo tu fedha hizo kama jamaa hana chanzo kingine na anaweza kuitumia kwenye dharura na mambo mengine nje ya mipango. Nashauri umtafute mtaalam mshauri atakupa pa kuanzia.Kitakachoamua kama inatosha au haitoshi ni uimara wa msingi, zege la kati na aina ya paa.
Kiujumla jumla tu jibu rahisi ni kwamba mil 85 inatosha, lakini kuwa specific zaidi ni lazima tujue surface area ya ramani yako na ubora utakaochagua.
Ninaposema inatosha nabreak down hivi:
Msingi mil 20
Zege la kati mil 20
Matofali mil 15
Mchanga, Kokoto, Mawe, maji mil 5
Mazagazaga mengine (Ufundi, nondo, mbao, mirunda, misumali) mil 20
Dharura mil 5
Hii nyumba itakuwa haijaezekwa! Kwa hesabu hii haitoshi na kimsingi huo ni mchanganuo lakini uhalisia wake ujenzi wa nanma hiyo ni ghali sana yahitaji moyo na yahitaji chanzo cha uhakika. Mi naona kwanza uwepo wa 85ml cash peke yake ni tatizo kwa sababu mjengo huo utajengwa siyo chini ya miezi 3. Kwa muda huo tu fedha hizo kama jamaa hana chanzo kingine na anaweza kuitumia kwenye dharura na mambo mengine nje ya mipango. Nashauri umtafute mtaalam mshauri atakupa pa kuanzia.
duhhhhhhhHizo hazitoshi kujenga hata banda la mbwa.
ngoja nicheki mawazo ya watu hapalabda na hii thread itakusaidia pia
https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/272282-msaada%3B-tshs-85mil-inajenga-ghorofa.html
Hizo hazitoshi kujenga hata banda la mbwa.
Inategemea unataka kujenga wapi na iwapo tayari una kiwanja. Kwa sehemu nyingi za Dar-es-Salaam kiwanja kinaweza kukwapua hela zote hizo usibake na kitu. Na vile vile iwapo kiwanja chako kiko kwenye kilima, fedha zote hizo zinaweza kutumika kujenga msingi tu. Hata hivyo ukiwa na kiwanja kizuri halafu ukapata msimamizi mzuri, fedha hizo unaweza kuzitumia vizuri zikamaliza sehemu kubwa ya jengo lako ingawa zitakuwa hazitoshi.
mkuu mengine sio matusi ni dharau
kiwanja kipo tayari na kipo dsm
kiwanja kipo tayari na kipo dsm
Kiwanja unacho?........je ni saizi gani?.....kama una kiwanja kikubwa nakushauri ujenge ya chini kwa hela hiyo....mimi juzi nimepiga msingi wa orofa kama hiyo umekula Tshs 26,500,000
[TABLE="width: 532"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD] Unit price[/TD]
[TD]Amount[/TD]
[TD] Cost[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tofali[/TD]
[TD] 1,800.00[/TD]
[TD] 2950[/TD]
[TD] 5,310,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kokoto[/TD]
[TD] 700,000.00[/TD]
[TD] 8[/TD]
[TD] 5,600,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mchanga[/TD]
[TD] 250,000.00[/TD]
[TD] 10[/TD]
[TD] 2,500,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cement[/TD]
[TD] 14,500.00[/TD]
[TD] 200[/TD]
[TD] 2,900,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nondo[/TD]
[TD] 17,800.00[/TD]
[TD] 65[/TD]
[TD] 1,157,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbao[/TD]
[TD] 8,500.00
[/TD]
[TD] 60[/TD]
[TD] 510,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mawe[/TD]
[TD] 500,000.00[/TD]
[TD] 4
[/TD]
[TD] 2,000,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lanscaping[/TD]
[TD] 1,000,000.00[/TD]
[TD] 1[/TD]
[TD] 1,000,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Trenching/setting[/TD]
[TD] 1,500,000.00[/TD]
[TD] 1[/TD]
[TD] 1,500,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hire of concrete mixer and tramping rammer[/TD]
[TD] 400,000.00[/TD]
[TD] 1[/TD]
[TD] 400,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nails/Binding wire etc[/TD]
[TD] 200,000.00[/TD]
[TD] 1[/TD]
[TD] 200,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Labour charge[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD] 3,461,550.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]Total[/TD]
[TD] 26,538,550.00[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
This is the most accurate calculation kasoro kwenye tofali nadhani wamekula kama 400 yako, labda umetumia zile zenye concrete chipping. Nondo zako ni mm 12 hapo umasave pesa mmno, lakini sijui kama it worth or not inategemea na size ya nyumba. Ukubwa wa nyumba yako ni kama wangu, lakini cost kwangu estimate ni Million 36 include ufundi.