msaada:TUITION PROVIDERS FOR NBAA EXAMINATIONS.

Katitima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
630
Reaction score
121
Poleni kwa kazi na mjukumu mengine ya kila siku wakuu,

Sio mwenyeji sana wa morogoro manispaa na nimehamishiwa hapa kikazi,
lengo langu ni kufahamu kama kuna VITUO VILIVYOIDHINISHWA KWA MASOMO YA ZIADA KWA AJILI YA MITIHANI YA BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA MAHESABU(NBAA).tafathali wakuu kama kuna yeyote anayefahamu naomba anijuze.

NB:kwa wale wenye taarifa zaidi watanijuza na mpangilio wa kituo cha mitihani kwa hapa.

Heshima mbele kama tai wakuu na ninatanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…