Msaada: Tuliiomba Diploma ya Radiology MUHAS matokeo yametoka?

Msaada: Tuliiomba Diploma ya Radiology MUHAS matokeo yametoka?

Chiclette

Senior Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
133
Reaction score
222
Samahani kwa tulioomba au ambao walishawahi omba muhas diploma ya radiology online kupitia website ya chuo na sio nacte, kama umechaguliwa majibu unayapataje?

Au yalishatoka nimetemwašŸ˜‚
 
Samahani kwa tulioomba au ambao walishawahi omba muhas diploma ya radiology online kupitia website ya chuo na sio nacte, kama umechaguliwa majibu unayapataje? Au yalishatoka nimetemwašŸ˜‚
Ingia kwenye profile yako kama umechaguliwa utaona
 
Dogo unaushamba mwingi sana. Mambo ya diploma yako hiyo unauliza hapa kwani hapa ndiyo kwenye account yako
 
Dogo unaushamba mwingi sana. Mambo ya diploma yako hiyo unauliza hapa kwani hapa ndiyo kwenye account yako
Wewe ndo una ushamba kupitiliza kwani kulikuwa na ulazima wa wewe kujibu alafu diploma yangu wewe inakukasirisha nn.....tuliza mtaro huošŸ˜‚
 
Back
Top Bottom