Tatemahunda
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 232
- 91
Je ni kitambi cha kawaida?
Na linaugumu wowote?
Huo ni unene uliokithiri ambao utasababisha afya yako kudorora.
piga mazoezi.
acha vyakula vya mafuta.
punguza vyakula vya wanga.
pendelea matunda na mboga mboga.
Nichel whatsup kunamaswal nitakuuliza na kujua tatzo
Ila vipimo ni muhm sn 0714.912.390
Wakuu salaam,
Tangu nilipokua mdogo hadi sasa Nina 26, sasa tumbo langu ni kubwa mithili ya kitambi au minyoo, nimejaribu kutumia dawa za minyoo lakini hamna mabadiliko. Nawaza sijui niende hospitali?! Lakini napata ugumu kwenda hasa nikiwaza halina maumivu..
Naombeni anayejua tatizo hili anisaidie tafadhali.....
Natanguliza shukrani.