Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Pole sana inaonyesha wewe hupati hata haja kubwa kwa wepesi? inaonyesha unaweza kukaa siku zaidi ya 3 huwezi kwenda choo kikubwa? una matatizo ya kutopata haja kubwa kwa urahisi hayo ndio matatizo yako makubwa ndio yanayo kusababisha upatwe pia na gesi kujamba kwa sauti kubwa na kutokawa jasho lenye harufu. Pendelea kula sana mboga za majani ,matunda na pia uwe unakunywa sana Maji ya uvuguvugu matatizo yako yatakwisha.Wenye uelewa naomba msaada itakuwa ni ugonjwa gani?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wenye uelewa naomba msaada itakuwa ni ugonjwa gani?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums