Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mim nimzungushe kwani mimi nipo bongo? sipo bongo yapata miaka zaidi ya 20 nitaweza mtu kumzungusha? ahhhh kazi kweli ipo yakhe...................MziziMkavu kwanini umzungushe? Mwambie aende kwenye maduka ya madawa ya kiarabu mkuu.
mzizi mkavu matumiz yahzo dawa nipale anapoumwa au kwa kpindi gan hasa
Mkuu Majigo umekwenda kupima H.I.V. ? nina kujoki rafiki yangu........awa dokta nisamehe kama swali langu limekukwaza
nitazitafuta hizo dawa
ahsante sana dokta wangu!
Sijawa mkali ningelikuwa ni mkali nisingeweza kukujibu jaribu kunielewa ndugu?Mkuu tatizo si wote ni wenyeji humu ndani,mimi huwa naona tu watu wakiraja jina lako lakini sijui hizo dawa zako zinapatikana wapi,kuuliza si ujinga pia ukizingatia umetoa tu maelezo ya matumizi ya dawa bila kueleza zinatibu vipi kwa maana ya kwamba ya kupunguza maumivu tu au kuondoa tatizo kabisa.
Halafu usiwe mkali,hiyo si hulka ya kitabibu.
MziziMkavu sina maana mguu kwa mguu nina maana kumuelekeza sehemu ambazo angepata kwa urahisi thats all. ShukranMim nimzungushe kwani mimi nipo bongo? sipo bongo yapata miaka zaidi ya 20 nitaweza mtu kumzungusha? ahhhh kazi kweli ipo yakhe...................
Mkuu Majigo umekwenda kupima H.I.V. ? nina kujoki rafiki yangu........
MziziMkavu sina maana mguu kwa mguu nina maana kumuelekeza sehemu ambazo angepata kwa urahisi thats all. Shukran
Sijawa mkali ningelikuwa ni mkali nisingeweza kukujibu jaribu kunielewa ndugu?
hakuna tabu nitafute ndugu...docta samahani naomba nikutafute pm
Dawa za Kisunna ( 1 Kalkariyaat 2 Sanamaki) Kazitafute hizo Dawa za kisunna halafu fuata ushauri wangu hapo juu kama niliyo eleza kisha uje unipe feedback.
Dawa za kisunna za Ovary Cysts zipo ukizihitaji nitafute kwa njia ya Email Baruwa ya pepe email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comDr. Mzizimavu..dawa za kisunna kwa ovarian cysts hazipo?