Wana JF, hasa matatibu naomba msaada wa ushauri
Tumbo langu linaunguruma sana, kiasi kwamba linaninyima amani mbele za watu hata hapa ofisini sina amani kabisa kwani linaunguruma sana sijui ni nini, mwanzo nilidhani kwa kuwa sijanywa chai labda ndio sababu but hata nikimywa chai kelele za tumbo ziko palepale, nishauri nifanye sometimes nakwepa hata meeting sababu hii.