Msaada tumbo limenisumbua Sasa ni miezi miwili imepita

mijey

Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
16
Reaction score
15
Habari zenu wakuu Mimi nimesumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda wa miezi miwili na dalili nazo pata tumbo kuunguruma,tumbo nikiligusa linakuwa na joto la kuzidi hata nisipo ligusa joto nahisi limeongezeka tumboni pia na maumivu,choo kidogo Mara kigumu Mara Cha kawaida,nikinywa maji kukojoa Mara kwa Mara .... Naombeni msaada wenu maana nilienda hospitali bado sipati nafuu
 
Hizo ni dalili za ulcers😢
 
Nenda hosptali kubwa sio unaenda duka la dawa afu unakuja kuzingua apa. Kama umeona jf itakutibu subir comment usome ukufe
🤣🤣🤣 Kabisa....watamwambia ..."tulikuambia mke wa mtu sumu ukajibu utakunywa maziwa....ona sasa"
 
Hizo ni dalili za ulcers[emoji22]
Asante kwa ushauri wako ngoja nikapime nipate uhakika na nijue shida Ni ipi pia ninashukuru kwa kunijulisha unaweza kuwa ugonjwa upi?
 
Back
Top Bottom