Hizo ni dalili za ulcers😢Habari zenu wakuu Mimi nimesumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda wa miezi miwili na dalili nazo pata tumbo kuunguruma,tumbo nikiligusa linakuwa na joto la kuzidi hata nisipo ligusa joto nahisi limeongezeka tumboni pia na maumivu,choo kidogo Mara kigumu Mara Cha kawaida,nikinywa maji kukojoa Mara kwa Mara .... Naombeni msaada wenu maana nilienda hospitali bado sipati nafuu
🤣🤣🤣 Kabisa....watamwambia ..."tulikuambia mke wa mtu sumu ukajibu utakunywa maziwa....ona sasa"Nenda hosptali kubwa sio unaenda duka la dawa afu unakuja kuzingua apa. Kama umeona jf itakutibu subir comment usome ukufe
Pole sana kamandaDuuu[emoji28]