Msaada tumbo linauma chini ya kitovu na kunguruma

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
237
Reaction score
165
Wanabodi mwenzenu hapa nasumbuliwa na tumbo kuuma chini ya kitovu pamoja na kunguruma ikiambatana na homa kali.miguu kukosa nguvu na viungo vya mwili kuuma.

Nilikwenda Aghakan hospital kwa ajiri ya check up nikaonekana nina amiba nikapewa Trinadozole nikamaliza doz lkn tatizo likaendelea nikaenda hospital nyingine kucheki choo nikaonekana amiba bado wamo nikapewa Metronidazole nikatumia lakini tatizo haliponi

Juz tena nmechek choo bado naambiwa Nina amiba

Je, ni dawa gan nzuri nitumie kwa sababu hizo dawa Metronidazole na Trinadozol nimetumia lakini hazileti mafanikio ninapokuwa napata dozi ya hizi dawa huwa napata hahuen kidogo ila tu nikimaliza tu doiz hali hujirudia

Naomben msaada nitumie dawa gan?
 
TATIZO hili huwakumba watu wengi kwenye jamii lakini kwa bahati mbaya wengi huchukulia ni jambo la kawaida kitu ambacho baadaye husababisha baadhi kuingia kwenye matatizo makubwa ya kiafya hasa kwenye mfumo wa uzazi na mfumo wa chakula.
Maumivu chini ya kitovu hutokea kama ifuatavyo: Yapo yale ya chini ya kitovu katikati, kushoto na kulia. Kwa wanawake maumivu ya kushoto na kulia yapo ya aina mbili.
Kuna yale ambayo yanakuwa upande mmoja lakini husambaa kwa urefu wa sentimita mpaka nne na inaweza ikawa upande mmoja au pande zote mbili lakini yapo mengine chini ya kitovu ambayo yanaweza yakawa upande mmoja au pande zote mbili bila kusambaa kwa urefu.
Kuna maumivu mengine chini ya kitovu huwapata wanawake wakati tu wanaposhiriki tendo la ndoa kwa ndani ya uke au chini ya kitovu. Pia yapo maumivu ambayo huwapata wanawake wakati wameinama, wakati wa kunyanyua vitu vizito, wakati wa kucheka au kuimba na wakati mwingine wakiwa wamelala kifudifudi. Maumivu chini ya kitovu yanaashiria matatizo gani kwa wanawake?
Mirija ya uzazi kujaa maji mazito na machafu ambayo huzuia yai kutembea kwenye mirija ya uzazi. Mwanamke ambaye amewahi kuambiwa na daktari kwamba anatakiwa asafishwe kizazi chake/mirija ya uzazi na wakati huohuo anasikia maumivu chini ya kitovu kushoto na kulia au upande mmoja kuna uwezekano akawa na tatizo la mirija ya uzazi kuziba kutokana na kujaa maji machafu.
Kutokukomaa kwa mayai ya uzazi. Hii husababisha vifuko vya mayai ya uzazi kuvimba (ovaritis) na kumletea mwanamke maumivu chini ya kitovu mithili ya kichomi.
Mwanamke ambaye ana maumivu chini ya kitovu na wakati huohuo ana matatizo ya hedhi, mfano hedhi kukoma au kutokuwa na mpangilio maalum kuna uwezekano mkubwa akawa na tatizo la vifuko vyake vya mayai ya uzazi kutokomaza mayai na hivyo mayai kutotoka kwenye vifuko hivyo na kusababisha kuvimba na hatimaye kumsababishia mwanamke maumivu makali mithili ya kichomi.
Kuvimba kwa kuta za mji wa mimba na kuta za mirija ya uzazi (PID/Pelvic Inflamatory Disease). Mwanamke anayesikia maumivu chini ya kitovu katikati na pembeni kwa wakati mmoja na wakati huohuo akawa anatokwa na uchafu mzito mithili ya maziwa mtindi kuna uwezekano akawa na PID hasa kama amewahi kukumbwa na tatizo la kuharibika kwa mimba kabla haijafikisha miezi mitano.
Afya mbovu ya kibofu cha mkojo ikiambatana na matatizo ya maambukizi kwenye mfumo mzima wa mkojo (UTI). Maumivu chini ya kitovu yanayohusisha afya mbovu ya kibofu cha mkojo huambatana na mgonjwa kutoa haja ndogo kidogo sana ila mara kwa mara
Wa.me/255656216064 call 0653216061
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…