Umeanza lini kuhisi maumivu hayo!? Maumivu tu!? Au kuna kingine kina ambatana na Maumivi!?Naomba msaada JF DOCTOR tatizo la tumbo linaniuma sana unapokaribia mda wa chakula mfano saa 5 asubuhi linaanza mpaka nile ndio linatulia na jioni linaanza mida ya saa 12.
Nimepima sana na napewa dawa linaacha kama miezi miwili halafu linaanza tena msaada naomba kama kuna ufumbuzi nitumie dawa gani?
nikipima wanasema sio vidonda ila tatizo dogo naandikiwa dawa natumia vizuri. Ila baada ya miezi 2-3 linaanza tenaUmeanza lini kuhisi maumivu hayo!? Maumivu tu!? Au kuna kingine kina ambatana na Maumivi!?
Vipi umewahi kuhisi ni vidonda vya tumbo!?
Upo mkoa gani!?... Nenda Hosp ya mkoa.nikipima wanasema sio vidonda ila tatizo dogo naandikiwa dawa natumia vizuri. Ila baada ya miezi 2-3 linaanza tena
kunywa glasi 1 ya maji ya uvuguvugu dakika 10 kabla aya kula chakula fanya hivyo kisha uje unipe feedback.Naomba msaada JF DOCTOR tatizo la tumbo linaniuma sana unapokaribia mda wa chakula mfano saa 5 asubuhi linaanza mpaka nile ndio linatulia na jioni linaanza mida ya saa 12.
Nimepima sana na napewa dawa linaacha kama miezi miwili halafu linaanza tena msaada naomba kama kuna ufumbuzi nitumie dawa gani?