kumbuka amasemea mwajir alipewa barua asiwafikuze kisa kudai haki zao hapo mazingira yanambana mwajir bora angemwongezea mkataba then ukiisha Ndo amfire
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini amekiuka order halali za serikali kwa kwenda kinyume na alivyoagizwa??
Sasa mkuu huko CMA si huyo mwajiri wao ataenda kusema mkataba wao uliisha? Kwa sababu kama mkataba ungekuwa haujaisha ndo wangeweza sema wamekuwa terminated unfairlyNenda CMA hao ndo wanahusika na migogoro kazini,utapata muongozo sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakafungue bushlawyers firmKama chanzo ni nyie kufuatilia sheria mkafukuzwa, basi fuatilien tena sheria hukohuko kwa mwanzo mtarudishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haja ya kumtaarifu (notice) mwajiriwa eti mkataba wako unaisha. Yeye hakuusoma?Sema labda walitakiwa wapewe notice kwamba mkataba ukiisha hakutakuwa nakurenew tena...kwa hiyo kama hawakupewa notice wanaweza kwenda CMA kuclaim
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo notice ya mkataba kuisha mkuu..notice ya kwamba hakutakuwa na renewal of contract baada ya mkataba kuishaHakuna haja ya kumtaarifu (notice) mwajiriwa eti mkataba wako unaisha. Yeye hakuusoma?
We hujafukuzwa kazi mkataba wako umeisha muda...sasa unataka kumlazimisha mwajiri akuongezee mkataba...hiyo haipo mkuuMkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu
Mkuu tofautisha kufukuzwa kazi na mkataba kuisha...hawa mkataba umeisha sasa huwezi kumlazimisha mwajiri akuongezee mkataba..vilevile mwajiri hawezi kukulazimisha uongeze mkatabaKama chanzo ni nyie kufuatilia sheria mkafukuzwa, basi fuatilien tena sheria hukohuko kwa mwanzo mtarudishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unless aliku-promise ukiona siku zimekaribia ni kujiongezaSiyo notice ya mkataba kuisha mkuu..notice ya kwamba hakutakuwa na renewal of contract baada ya mkataba kuisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yako hajajitosherezi. Mkataba wako umefika mwisho, kama umepewa haki zako za kimkataba uwasalimie uendako. Kama umenyimwa seek a legal adviceMkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu
Hapana. Ndio maana unapewa kopi ya mkataba. Mkataba ukiisha kama mwajili hakutaki unakulipa stahiki zako end of businessesSema labda walitakiwa wapewe notice kwamba mkataba ukiisha hakutakuwa nakurenew tena...kwa hiyo kama hawakupewa notice wanaweza kwenda CMA kuclaim
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu wewe ndo mana mnakutana masikini na elimu yenu ya panya..Unajitia mjuaji kwenye kampuni ya mtu.. Sasa nenda ukaajiriwe na hiyo sheria iliyokutia ujuaji..!! Ujifunze, next time uwe na adabu..
Nawe ni moumbavu....kwasababu hujajibu lolote wala kushauri lolote......Nimegundua wengi ni wapumbavu humu badala ya kujibu kitaalamu wamejibu upuuzi tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu na wao wapo upande wa mwajiri.Hakuna timu isiyo na shabiki.Hata shetani ana wafuasiUmeonaeeee hata mm Naona Wat hawamsaidii bali wanafurahia watanzania tuna roho mbaya sana yan unafiki umetujaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatengeneza kizazi kilichojaa uoga.Muhimu iwe kweli mtu ana haki anazostahili.Shida ya haya mambo , ukijifanya mjuaji sana wa haki mwisho wa ke ndo huo, mi yaliwahi kunikuta hayo.....mwisho wa siku nikaamua kuachana nao