NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 643
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh una kipaji mkuu, yaani uamepatia ni kama ulikuwepo utadhani ulisomea Chunguza na Chabo Institute of Identification 🙂wa pili kulia waliosimama ni Warda El-Saad, waliochuchumaa kutoka kushoto ni Najat, Bilkis (kipa) na Leyla, wengine waliobaki siwafahamu ni wageni kwenye hiyo timu
Geoff nimecheka mpaka basi, u have made my day ulisoma chuo kimoja na Preta nini? coinsidence.WALIO KAA:
GOLKIPA NI veracity,BEKI WA KULIA ni charity,BEKI WA KUSHOTO ni lilyflower,
WALIOSIMAMA
BEKI MKABAJI ni pretta,BEKI WA KATI ni carmel,KIUNGO MKABAJI ni babylove,WING YA KUSHOTO ni mj1,WING YA KULIA ni nyamayao,KIUNGO MSHAMBULIAJI ni fl1,MSHAMBULIAJI WA KWANZA(namba tisa) ni pearl,na MSHAMBULIAJI WAPILI(second striker) ni askofu.
majeruhi na reserve ni wale ambao sijawataja.msiwaze sana😀😀😀
wa pili kulia waliosimama ni Warda El-Saad, waliochuchumaa kutoka kushoto ni Najat, Bilkis (kipa) na Leyla, wengine waliobaki siwafahamu ni wageni kwenye hiyo timu
WALIO KAA:
GOLKIPA NI veracity,BEKI WA KULIA ni charity,BEKI WA KUSHOTO ni lilyflower,
WALIOSIMAMA
BEKI MKABAJI ni pretta,BEKI WA KATI ni carmel,KIUNGO MKABAJI ni babylove,WING YA KUSHOTO ni mj1,WING YA KULIA ni nyamayao,KIUNGO MSHAMBULIAJI ni fl1,MSHAMBULIAJI WA KWANZA(namba tisa) ni pearl,na MSHAMBULIAJI WAPILI(second striker) ni askofu.
majeruhi na reserve ni wale ambao sijawataja.msiwaze sana😀😀😀
WALIO KAA:
GOLKIPA NI veracity,BEKI WA KULIA ni charity,BEKI WA KUSHOTO ni lilyflower,
WALIOSIMAMA
BEKI MKABAJI ni pretta,BEKI WA KATI ni carmel,KIUNGO MKABAJI ni babylove,WING YA KUSHOTO ni mj1,WING YA KULIA ni nyamayao,KIUNGO MSHAMBULIAJI ni fl1,MSHAMBULIAJI WA KWANZA(namba tisa) ni pearl,na MSHAMBULIAJI WAPILI(second striker) ni askofu.
majeruhi na reserve ni wale ambao sijawataja.msiwaze sana😀😀😀
Huyo aliye chuchumaa wa kwanza kulia anaitwa Munira El-Basheer winga wa kulia wa hiyo timu!!wa pili kulia waliosimama ni Warda El-Saad, waliochuchumaa kutoka kushoto ni Najat, Bilkis (kipa) na Leyla, wengine waliobaki siwafahamu ni wageni kwenye hiyo timu
Nguli achana na mambo ya uchochezi bana!!!

Junius, hebu niambie kitu kimoja tu. Nini sababu yao ya kupiga hii picha?
Sorry wamegeukia wapi? kawapiga migongo au?