Msaada tutani; Cornflakes/cereals zinapunguza uzito wa mwili? Is a fact or myth?

aggrey kimambo

Senior Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
129
Reaction score
142
Natunguliza salaam wakuu, ningependa kujua mbivu au mbichi kuhusiana na cornflakes/cereals katika kupunguza uzito wa mwili.
 
Aiseeeee siez hayo nishazoea maboga mie
 
Sijawahi kufikiria hivyo, kwa vile hutumia kama kupoza njaa wakati nafanya maandali mengine au labda nina haraka nataka kutoka na njaa inauma
 
Mhh labda, huwa nazitumia kupasha tumbo asubuhi
 
Ni snack nzuri mno ukipata na maziwa kuhusu huko kwingine hata sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…