msaada tutani investment companies ambazo ziko Tanzania

Ibang

Senior Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
121
Reaction score
23
Wadau na wakui habari zenu..
Nilikuwa naombwa kujuzwa listi ya makampuni yanayojishughulisha na uwekezaji nchini ambayo ni ya watanzania
Na aina ya biashara ambayo wamewekeza

Kwa wenzetu kuna mmakampuni mengi ambayo watu wao wanajulikata kama venture capitals je hapa Tanzania wapo watu hao?
Ni akina nani?
Natanguliza shukran
 
Kuna kampuni inaitwa excellence management international pamoja na mambo mengine inahusika na business partners ambao wamewekeza maeneo mbalimbali ila wanahitaji partners for more expansion. Nyingine ni business planning and investment company hili linahusika na mambo ya investment moja kwa moja eg real estates,agric, industries etc.
 
asante mkuu bfexjan sasa kuna email hapo umezitupia katika uzi huu huu hizi zina muhusu nani hilo niswali langu la kwanza ,pili kama nahitajikupata mawasiliano zaidi na wewe ndugu yangu je utakuwa tayari maana hata mie uzi huu unanigusa kweli tafadhali naomba nikupe mawasiliano yangu ili tuweze kusaidiana.
kinudy@gmail.com
+255 713 287020 or +255 713 287020

tafadhali kaka naomba unijuze unapatikanaje ili tuweze kuya jengahaya mambo zaidi na kwa kirefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…