Msaada tutani: Itel A58

Msaada tutani: Itel A58

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Msaada tutani waungwana.

Hapa ni screenshot ya Simu iTel A58 - android kwa juu:

IMG_20230307_222013~2.jpg

1. Kushoto juu ni saa 22:19
2. Kinachofuata ni ki icon cha nini na kinatoka vipi?
3. Kinachofuata ni notification ya WhatsApp kuwa kuna new message.
4. Kinachofuata ni ki icon cha nini na kinatoka vipi?

Tupeane maujanja tafadhali.

Natanguliza shukurani.
 
Uki scroll down iyo notification panel utajua ni app gan. Hapo hapo uta i slide kwend kulia utaon itakuletea option ya ku manage iyo notification. Unawez ku i mute. Ila vzr ukijua ni app gan then unaend setting unazuia notifucation
 
Asante mkuu. Ujanja wako umenisaidia.
 
Back
Top Bottom