Hapo sioni tatizo..., Kwanza walipokutana walikutana kama wote ni wanaume na urafiki wao haukuwa based kwenye mapenzi.., na kutunza siri ndio ustaarabu hata asingemuomba atunze siri, ingebidi jamaa atunze siri...
Cha kufanya waendelee na normal urafiki wa kawaida na mwambie jamaa atunze siri ingawa sasa wewe, Gudlack aliyekujibu hapo juu, mimi, watakaojibu hapo chini na guest wote wanaochungulia sasa wanajua... :angry: