Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Habari za mida Wadau.
Nategemea kwenda KWA jirani zetu siku chache kabla ya x-mass
Wasi wasi wangu ni juu ya vipimo vya Covid.
Je kuna mtu amesafiri kwenda huko hivi jaribuni snipe mrejesho?
Asante