Msaada tutani kuhusu ukweli wa Kampuni ya Telexfree

GBM kwetu

Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
23
Reaction score
11
Wakuu, nimekuwa nikishawishiwa na baadhi ya rafiki zangu kujiunga na biashara ama shughuri zinazohusiana na kampuni ya telexfree. Nimekuwa nikipewa maelezo yanayo onyesha dhahiri mafanikio makubwa ya kipato baada ya kujiunga na kaampuni hiyo yenye shughuri kupitia mtandao wa internet. Mimi ni mtu mwenye kipato cha kawaida kabisa kwa vipato vyetu watanzania. Ninaomba ufafanuzi thabiti kwa anayejua zaidi ili nami nifanye maamuzi sahihi ama kujiunga ama kutojiunga kabisa. Naombeni mawazo yenu ma GREAT THINKERS.
 
simple, hao ni matapeli, hiyo ni deci nyingine, cheza uliwe.
 
weka mbali na watoto. mtakaoingia mwishoni ndio itakaokula kwenu.
 
Kuna nyingine inaitwa forever living. Anytime soon watu watasaga meno
 
iyo Telexfree inachunguzwa na polisi! ila ina bidhaa inayouza na kutangazwa na watu wanaojiunga nayo kama iyo ya forever living
 
your living in a modern world remember,networking business is very common the problems with people in Tanzania they lack some information.Telexfree is genuine business
 
your living in a modern world remember,networking business is very common the problems with people in Tanzania they lack some information.Telexfree is genuine business

wewe upo huko sexfree sijui telexfree?
 
your living in a modern world remember,networking business is very common the problems with people in Tanzania they lack some information.Telexfree is genuine business

Nieleweshe mkuu na unipatie vielelezo ni kwa jinsi gani hii biashara ni genuine na kama unaifanya umenufaikaje?. Ninauliza kwa nia njema kabisa.
 
weka mbali na watoto. mtakaoingia mwishoni ndio itakaokula kwenu.

Kwa nini wewe binafsi unai-diss hii bussiness kaka nipe maelezo kamili kwa nini nisijiunge nayo kabisa, maana umesisitiza kuwa niweke mbali na watoto kabisa.
 
Nilivosikia,BOT wanaichunguza now,it's a scam
 
It is not yet confirmed kwamba ni scam..people are still making money
 
Mie nnasubiri nione kwa macho maisha yenu yakibadilika ndo nijiunge....
 
Kwa nini wewe binafsi unai-diss hii bussiness kaka nipe maelezo kamili kwa nini nisijiunge nayo kabisa, maana umesisitiza kuwa niweke mbali na watoto kabisa.

mkuu ebu ingia you tube angalia híi kitu"telexfree scam" afu tuje tuongee vzur!
 
It is not yet confirmed kwamba ni scam..people are still making money

Mie nnasubiri nione kwa macho maisha yenu yakibadilika ndo nijiunge....
Issue sio kwamba watu hawatengenezi pesa au hawatatengeneza pesa ISSUE ni wangapi watakaopoteza pesa scheme itakapo-collapse..., hata kabla haijacollapse kwa kifo cha kawaida ni pale serikali itakavyoifungia kama biashara ya Upatu (refer what happened in Brazil).

Pili jambo la kushangaza ni ile segment ya ku-post matangazo / tangazo daily na kupata so and so profit (hivi kweli internet advertising is that profitable ?) If so I guess am in the wrong business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…