Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,448
- 1,624
Wakuu habari za usiku.
Wadau najua kunawataalam wa kilimo hapa.
Ni hivi mwaka jana nililima mahindi kidogo niliweka mbolea zilizo chakachuliwa na baada ya kuweka nilishangaa kuona mahindi hata hayabadiliki, Kama kawa Jf ikanitaarifu kuwa mbolea tulizouziwa songea ni fake nimesikitika sana. Hii imeaffect mazao yangu,
nirudi kwenye mada. Nimepata vimahindi kidogo sasa napiga mahesabu niweke dawa au nikoboe mahindi yote afu niyahifadhi yakiwa yamekobolewa. Haya mahindi ni ya chakula. Kwa uzoefu wangu nakumbuka mahindi yakikobolewa mara nyingi hayaliwi na dumusi sasa nikihifadhi kwa mtindo huu wa kuyakoboa afu niwe nakula kidogo kidogo kuna ubaya. Wataalamu wa kilimo na viuatilifu naomba ushauri wenu wakuu.