Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
!umeishia darasa la ngapi?Umeshajibiwa na mwanasaikolojia mmoja nahisi ni mauki,Hio ni mindset yako meanz hufanya hivo kila upatapo hio salary , kuna siku yeye alisema japo kwenye kitu kingine,kua ukiwa ni mtu wakupata laki 2 ndio inarun maisha yako lets say monthly hata ukipata milion kumi, hutoitumia vizur kurunmaisha yako yaleyale ilautaitapanya hadi ikifika laki 2ndio usanuke sasa kufanya yanayokuhusu ,so badili mtizamo wako.
Inawezekana lakini why me?Unasumbuliwa na pepo la umasikini
Kwahiyo nifanyeje?Umetengeneza biorythm...
Unanunua sana malaya upatapo mshahara
Mwili unazoea, ni kama vile unavyohisi njaa mida ya kula ikikaribia
Niko la sita b mkuu ,Sijakuelewa mkuu
!umeishia darasa la ngapi?
Ni jobless?Niko la sita b mkuu ,
Inabidi ujitathimini unakoendaga,maana Kuna madanga au watu washenzi wanachanjiaga kwamba nataka flani akipata hela tu iishie kwenye ngonoInawezekana lakini why me?
Bisa mkuuKuna uhusiano mkubwa sana kati ya Nyege na pesa,,, mathematically NYEGE ni direct proportional kwa PESA🖐️
Ni kukosa majukumu yenye kuhitaji fedha zaidi. Baada ya miaka kadhaa ukiwa na majukumu utajikuta una uhanithi wa vipindi/temporal impotence. Muda ni mwalimu mkuu.Wakuu sijui ni matatizo ya kisaikolijia au nini wakuu labda nyie wakuu mtanisaidia kwakweli yaani tarehe kama hizi za mwisho wa mwezi wa mshahara upwiru inaongezeka na drive ya Kula mbususu inakuwa kubwa sana aisee mpaka nawaza kwa akili hizi kuna kujenga kweli? Au kuna kufanya maendeleo wazee
Wakuu naombeni msaada nifanyeje?ili niepukane na adha hii?
Acha2 uzinzi ndugu yangu utapata faida ya kuwa na mafanikio plus utaenda mbinguni🤝Inawezekana lakini why me?
Uzi ufungweUmetengeneza biorythm...
Unanunua sana malaya upatapo mshahara
Mwili unazoea, ni kama vile unavyohisi njaa mida ya kula ikikaribia
tafuta pisi labdaInawezekana aisee
Kwahiyo nifanyeje?