K kakaamiye Senior Member Joined Aug 5, 2009 Posts 179 Reaction score 90 Nov 6, 2013 #1 Heshima zenu wakuu, Ninawaomba msaada kwa yeyote mwenye kujua namba za simu za Gavana wetu wa Benki Kuu na Manaibu wake anisaidie kuweka hapa. Natanguliza shukrani!
Heshima zenu wakuu, Ninawaomba msaada kwa yeyote mwenye kujua namba za simu za Gavana wetu wa Benki Kuu na Manaibu wake anisaidie kuweka hapa. Natanguliza shukrani!