Msaada tutani: Mwenye kufahamu aina hii ya mayai

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,732
Reaction score
4,901
Kama picha inavyojieleza, naomba mwenye ufahamu wa aina hii ya mayai. kwa nje yana shell yenye rangi nyeype. Ukilivunja kiini ni njano kawaida ila chepesi mno kiasi kwamba unachanyanyika na ute kabla hata ya kuchanganya.

 
Kama picha inavyojieleza, naomba mwenye ufahamu wa aina hii ya mayai. kwa nje yana shell yenye rangi nyeype. Ukilivunja kiini ni njano kawaida ila chepesi mno kiasi kwamba unachanyanyika na ute kabla hata ya kuchanganya. View attachment 1884940
Ni aina ya mayai bandia ambayo kuna kampuni ilipigwa marufuku kuyasambaza kutokana na hilo tatizo Nadhani kama sio Interchick basi ni Amadori iliokuwa Kongowe ya Mbagala
 
Mkuu umeyatoa wapi kwani?, Ni kuku wako ndio wanaya taga au umenunua kwa mfugaji?

Siwezi sema kama ni bandia au laa, ila inawezekana kuku walioyataga wanapungukiwa na vitamini au ni aina yao au yalitingishwa.

Jaribu kwanza kumjua kuku mtagaji Mkuu.
 
Nilimtuma kijana amenunua ila yananipa mashaka kidogo.
 
Kama picha inavyojieleza, naomba mwenye ufahamu wa aina hii ya mayai. kwa nje yana shell yenye rangi nyeype. Ukilivunja kiini ni njano kawaida ila chepesi mno kiasi kwamba unachanyanyika na ute kabla hata ya kuchanganya.

View attachment 1884940
Mara nyingi hutokea na dawa unazompa kuku kuwa nyingi kuzidi au ukosefu wa madini chuma katika mchanganyiko wa vyakula unavyompa kuku wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…